• HABARI MPYA

    Tuesday, April 12, 2016

    ROONEY AREJEA UWANJANI MAN UNITED IKISHINDA 1-0

    Mshambuliaji majeruhi wa muda mrefu, Wayne Rooney akipiga mpira jana wakati akiichezea timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 ya Manchester United ikishinda 2-1 dhidi ya Middlesbrough Uwanja wa Old Trafford, bao pekee la Paddy McNair PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AREJEA UWANJANI MAN UNITED IKISHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top