• HABARI MPYA

  Sunday, April 17, 2016

  LIVERPOOL YAENDELEZA SHANGWE ZA USHINDI ULAYA HADI ENGLAND

  Mshambuliaji Roberto Firmino akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 41 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Vitality. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Daniel Sturridge wakati la Bournemouth limefungwa na Joshua King  PICHA ZAIDI GONGA JAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAENDELEZA SHANGWE ZA USHINDI ULAYA HADI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top