• HABARI MPYA

  Sunday, April 17, 2016

  ARSENAL YAAMBULIA SARE KWA CRYSTAL PALACE EMIRATES

  Francis Coquelin wa Arsenal akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Yohan Cabaye wa Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, huku Mile Jedinak akishuhudia. Timu hizo zimetoka sare ya kufungana 1-1, bao la Arsenal likifungwa na Alexis Sanchez dakika ya 45 kabla ya Yannick Bolasie kuwasawazishia wageni dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAAMBULIA SARE KWA CRYSTAL PALACE EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top