• HABARI MPYA

  Saturday, April 02, 2016

  CHELSEA YAIFUMUA 4-0 ASTON VILLA LIGI KUU ENGLAND

  Alexandre Pato akishangilia baada ya kuifungia Cheslea katika ushidi wa 4-0 dhidi ya Aston Villa Uwana wa Villa Park leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Cheslea yamefungwa na Ruben Loftus-Cheek na Pedro mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIFUMUA 4-0 ASTON VILLA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top