• HABARI MPYA

  Tuesday, April 05, 2016

  AZAM VETERANS ILIVYOWAKOSAKOSA PIRATES JANA

  Kiungo wa Azam Veterans, Amiri Rashid 'Kikwa' akitafuta maarifa ya kupasua katikati ya wachezaji wa Pirates FC usiku wa jana katika mchezo wa Kundi michuano ya JKM Youth Centre uliofanyika Uwanja wa JKM Youth Centre, zamani Kidongo Chekundu katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 1-1

  Mfungaji wa bao la Azam Veterans, Abdukkarim Amin 'Popat' akiwatoka mabeki wa Pirates

  Winga wa Azam Veterans, Jumanne Shomary (kulia) akiondona na mpira baada ya kumlamba chenga mchezaji wa Pirates

  Mshambuliaji wa Azam Veterans, Salim Aziz 'Ryad Mahrez' akimlamba chenga beki wa Pirates

  Nahodha wa Azam Veterans, Abdulkarim Amin 'Popat' akimtoka beki wa Pirates

  Salim Aziz 'Ryad Mahrez' akimtoka beki wa Pirates katika mchezo wa jana

  Kocha wa Azam Veterans, Iddi Nassor 'Cheche' akiwapa mawaidha wachezaji wake wakati wa mapumziko  

  Mtunza Vifaa vya Michezo vya Azam Veterans, Saleh Idha 'Chilei' akiondoka baada ya mchezo wa jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM VETERANS ILIVYOWAKOSAKOSA PIRATES JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top