• HABARI MPYA

    Sunday, March 06, 2016

    YANGA NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akipambana na beki wa Azam FC, Said Mourad katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 2-2
    Kipa wa Azam FC, Aishi Manula akiruka kudaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe

    Winga wa Yanga, Simon Msuva akimipita winga wa Azam, Farid Mussa
    Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali akimuacha chini beki wa Azam, Shomary Kapombe
    Mshambuliajia wa Yanga, Donald Ngoma akimtoka kiungo wa Azam, Jean Baptiste Mugiraneza
    Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko akimtoka kiungo wa Azam, Himid Mao
    Kikosi cha Yanga kilichoanza jana
    Kikosi cha Azam FC kilichoanza jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top