• HABARI MPYA

  Monday, March 07, 2016

  SIMBA SC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akimtoka beki wa Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0
  Mshambuliaji wa Simba, Daniel Lyanga akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Mbeya City, Tumba Swedi jana
  Kiungo wa Simba, Mwinyi Kazimoto (kushoto) akipambana na kiungo wa Mbeya City, Kenny Ally jana
  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiwafunga tela wachezaji wa Mbeya City, Ditrim Nchimbi na Haruna Moshi 'Boban'
  Ibrahim Hajib akiwatoka wachezaji wa Mbeya City
  Wachezaji wa Simba (kushoto) wakishangilia bao la pili, huku kipa Hannington Kalyesebula akijivuta kinyonge 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA MBEYA CITY KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top