• HABARI MPYA

  Sunday, March 06, 2016

  RIYAD MAHREZ AISOGEZA LEICESTER CITY JUU ZAIDI ENGLAND

  Nyota wa Leicester City, Riyad Mahrez akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Leicester City dakika ya 11 ikishinda 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Watford Uwanja wa Vicarage Road katika mchezo wa Ligi Kuu ya England na kuzidi kupaa kileleni kwa kufikisha pointi 60, tano zaidi ya Tottenham Hotspur wanaoshika nafasi ya pili baada ya timu zote kucheza mechi 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RIYAD MAHREZ AISOGEZA LEICESTER CITY JUU ZAIDI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top