• HABARI MPYA

    Monday, March 07, 2016

    ASHA BARAKA AENDELEA KUREJESHA WAKALI TWANGA PEPETA, FERGUSON NAYE ATIA TIMU

    Mkurugenzi wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', Asha Baraka (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari leo ukumbi wa White Rose, Kinondoni, Dar es Salaam asubuhi ya leo wakati wa kumtambulisha rapa Saulo John 'Ferguson' (kulia) aliyerejea bendi hiyo kutoka Mashujaa Band.  Kushoto ni mnenguaji wa bendi hiyo, Kassim Juma

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ASHA BARAKA AENDELEA KUREJESHA WAKALI TWANGA PEPETA, FERGUSON NAYE ATIA TIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top