• HABARI MPYA

    Monday, March 11, 2019

    MAKATIBU WAKUU WA KLABU ZA LIGI KUU KUPIGWA MSASA KESHO DEMAGE HOTELI, KINONDONI

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kesho Jumanne Machi 12,2019 litaendesha semina kwa Klabu za Ligi Kuu ya Bara (TPL).
    Taarifa ya Afisa Habari Mawasiliano wa TFF, Clifford Mario Ndimbo kwa Vyombo vya Habari leo imesema kwamba Semina hiyo ya siku moja itafanyika Hoteli ya DEMAGE iliyopo Kinondoni mjini Dar es Salaam.
    Ndimbo amesema kwamba wanaotakiwa kuhudhuria Semina hiyo itakayoanza Saa 2:00 asubuhi ni Makatibu na Watendaji Wakuu wa Klabu 20 za Ligi Kuu. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAKATIBU WAKUU WA KLABU ZA LIGI KUU KUPIGWA MSASA KESHO DEMAGE HOTELI, KINONDONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top