• HABARI MPYA

  Saturday, March 02, 2019

  JI DONG-WON AFUNGA MAWILI AUGSBURG YAICHAPA DORTMUND 2-1

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Korea, Ji Dong-won akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Augsburg dakika za 24 na 67 usiku wa jana ikishinda 2-1 dhidi ya Borussia Dortmund katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa WWK Arena mjini Augsburg. Bao pekee la Borussia Dortmund limefungwa na Paco Alcacer dakika ya 81 na kwa ushindi huo, Augsburg inafikisha pointi 21 baada ya kucheza mechi 24 ikiendelea kushika nafasi ya 15 katika msimamo wa Bundesliga inayoshirikisha timu 20, wakati Borussia Dortmund inaendelea kuongoza kwa pointi zake 54 za mechi 24, tatu zaidi ya Bayern Munich ambayo hata hivyo imecheza mechi 23 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JI DONG-WON AFUNGA MAWILI AUGSBURG YAICHAPA DORTMUND 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top