• HABARI MPYA

    Monday, August 20, 2018

    YANGA NA USM ALGER KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji mpya wa Yanga, Eritier Makambo (wa pili kulia) akitafuta maarifa ya kupenya kuelekea kwenye lango la USM Alger katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1 
    Kiungo wa Yanga SC, Deus Kaseke akimtoka mchezaji wa USM Alger  
    Eritier Makambo akimgeuza beki wa USM Alger jana Uwanja wa Taifa 
    Kiungo wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshishimbi akimtoka beki wa USM Alger 
    Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akimtoka mchezaji wa USM Alger
    Mashabiki wa Yanga, raia wa kigeni jana Uwanja wa Taifa
    Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimuacha chini mchezaji wa USM Alger  
    Kiungo wa USM Alger akitafuta maarifa ya kumpita kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko
    Kikosi cha USM Alger jana kabla ya mechi 
    Kikosi cha Yanga SC kabla ya mechi jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA USM ALGER KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top