Wachezaji wa Paris Saint-Germain, Edinson Cavani, Kyllian Mbappe na Neymar wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Angers SCO kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa leo Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Cavani alifunga la kwanza dakika ya 12, Mbappe la pili dakika ya 51 na Neymar la tatu dakika ya 66, wakati la Angers SCO limefungwa na Thomas Mangani dakika ya 21 kwa penalti
Iran's famed singer Googoosh recalls family, exile and life in the spotlight
-
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — For Googoosh, Iran's most-famous singer,
life always has been balancing act of one kind or another.
27 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment