Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia na wachezaji wenzake wa Juventus baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Lazio kwenye mchezo wa Serie A leo Uwanja wa Allianz mjini Torino, mabao ya Miralem Pjanic dakika ya 30 na Mario Mandzukic dakika ya 75. Ronaldo ndiye aliyetoa pasi ya bao la pili, ingawa amefikisha mechi mbili tangu awasili Juventus bila kufunga bao
2021 Under-17 AFCON cancelled
-
The 2021 TOTAL Under-17 Africa Cup of Nations , which was to kick-off this
weekend in Morocco, has been cancelled due to the Covid-19 pandemic.
According...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment