Kocha wa mazeozi ya viungo wa Simba SC, Mtunisia Adel Zrane (kulia) akimuelekeza mshambuliaji Adam Salamba wakati akimuandaa kuingia uwanjani Jumatano katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Adel Zrane akimuelekeza kwa vitendo Adam Salamba
Hapa Adel Zrane anamuongoza Salamba kufanya mazoezi ya kujiweka fiti
Na pamoja na kuingia dakika 10 za mwisho, lakini Adam Salamba aliwahenyesha mabeki wa Tanzania Prisons
Dodgers Star Shohei Ohtani's Signature Logo for New Balance Revealed in
Video
-
Los Angeles Dodgers superstar Shohei Ohtani's official logo with New
Balance was announced in a video on Monday. The video was posted on X by
the MLB's…
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment