Kiungo Mbrazil, Lucas Rodrigues Moura da Silva, maarufu tu kama Lucas Moura (kushoto) akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakila za 52 na 84 katika ushindi wa 3-0 wa Tottenham Hotspur dhidi ya Manchester United usiku huu Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Kulia ni mfungaji wa bao lingine la Spurs, Harry Kane dakika ya 50 na hicho ni kipigo cha pili mfululizo, wakitoka kupigwa 3-2 na Brighton & Hove Albion wiki iliyopita baada ya mwanzo mzuri wa ushindi mwembamba wa 2-1 dhidi ya Leicester City nyumbani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Browns' Baker Mayfield Claims He 'Saw a UFO' While Driving from Dinner
-
The Cleveland Browns are generally regarded as a down-on-their-luck
organization, but an alien abduction after they finally found a franchise
quarterback w...
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment