Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Liverpool dakika ya 23 akimalizia pasi ya Roberto Firmino ikiilaza 1-0 Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Hilo linakuwa bao la 29 katika mechi 29 alizocheza Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment