• HABARI MPYA

    Monday, August 20, 2018

    BALE AFUNGA LA PILI REAL MADRID YASHINDA 2-0 LA LIGA

    MABAO ya Daniel Carvajal dakika ya 20 na Gareth Bale dakika ya 51 yameipa mwanzo mzuri Real Madrid katika La Liga baada ya kushinda 2-0 dhidi ya Getafe usiku huu Uwanja wa Santiago Bernabeu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AFUNGA LA PILI REAL MADRID YASHINDA 2-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top