• HABARI MPYA

  Sunday, August 12, 2018

  REAL MADRID WAIPIGA AC MILAN 3-1 NA KUTWAA KOMBE LAO

  Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos na Marcelo wakiinua Kombe la Bernabeu baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya AC Milan usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Karim Benzema dakika ya pili, Gareth Bale dakika ya 45 na ushei na Borja Mayoral dakika ya 90 na ushei, wakati la Milan limefungwa na Gonzalo Higuain dakika ya nne 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID WAIPIGA AC MILAN 3-1 NA KUTWAA KOMBE LAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top