• HABARI MPYA

  Sunday, August 12, 2018

  MANE AFUNGA MABAO MAWILI LIVERPOOL YAIPIGA 4-0 WHU

  Mshambuliaji Sadio Mane akipongezwa na wenzake, Roberto Firmino (kushoto) na Naby Keita (kulia) baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 45 na ushei na 53 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 19 na Daniel Sturridge dakika ya 88 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE AFUNGA MABAO MAWILI LIVERPOOL YAIPIGA 4-0 WHU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top