Kiungo Mfaransa, Steven N'Zonzi aliyekuwa anatakiwa Arsenal, akikabidhiwa jezi ya AS Roma na Mkurugenzi wa klabu, Monchi baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 27 kutoka Sevilla akisaini mkataba wa miaka minne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment