• HABARI MPYA

  Wednesday, August 15, 2018

  BONGE LA MECHI REAL MADRID NA ATLETICO SUPER CUP YA UEFA

  Sergio Ramos akionyesha uwezo wake wakati wa mazoezi ya timu yake, Real Madrid jana kujiandaa na mchezo wa Super Cup leo dhidi ya mahasimu wao wa Jiji la Madrid, Atletico Madrid Uwanja wa A. Le Coq Arena mjini Tallinn, Estonia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BONGE LA MECHI REAL MADRID NA ATLETICO SUPER CUP YA UEFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top