Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia) akiwa na mmoja wa mashabiki maarufu wa klabu, Issa Azam wakati wa mkutano wa kupanga mikakati ya kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara wiki ijayo
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia) akifurahia na mashabiki na Meneja, Philippo Alando
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (kulia) akiwa na Meneja, Philippo Alando
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' akiwa na Meneja Philipo Alando
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' (katikati) akizungumza na mashabiki
Hii ni picha ua pamoja ya mashabiki na viongozi wa Azam FC baada hya mkutano








.png)
0 comments:
Post a Comment