• HABARI MPYA

  Sunday, August 19, 2018

  MESSI ALIPOIFUNGIA BAO LA 6000 BARCELONA LA LIGA

  Mshambuliaji Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 64 na 90 na ushei katika ushindi wa 3-0 wa Barcelona dhidi ya Alaves jana Uwanja wa Camp Nou. Philippe Coutinho alifunga bao la pili dakika ya 83, Messi akiweka rekodi ya kuifungia bao la 6000 Barca katika Ligi baada ya mwaka 2009 kuifungia la 5000 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ALIPOIFUNGIA BAO LA 6000 BARCELONA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top