• HABARI MPYA

  Sunday, August 12, 2018

  KIKOSI CHA MAJI MAJI KILICHOBEBA UBINGWA WA TANZANIA 1998

  Kikosi cha Maji Maji ya Songea mabingwa wa Ligi Kuu ya Muungano mwaka 1998 wakiwa Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma kabla ya moja ya mechi zao. Kutoka kulia waliosimama ni Doi Moke, Kelvin Haule, John Alex, Steven Mapunda, James Mhagama, Godfrey Kikumbizi, Abdul, Omar Kapilima, David Mjanja na Shaibu Kambangwa.
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni Amri Said, Hamisi Ngwena (marehemu), Samson Paul, Said Mshamu, Willy Martin, Omar Hussein na Fortenatus Dello Tumba.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA MAJI MAJI KILICHOBEBA UBINGWA WA TANZANIA 1998 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top