• HABARI MPYA

  Monday, August 20, 2018

  KESSY AWA MCHEZAJI BORA WA MECHI NKANA IKISHINDA 2-0 ZAMBIA

  Beki wa kulia wa Tanzania, Hassan Kessy ameanza vyema katika klabu yake mpya, Nkana FC baada ya kuchaguliwa Mchezaji Bora wa Mechi (MOM) dhidi ya Kabwe Warriors Jumapili. 93 minna mashabiki wa klabu hiyo na kupewa zawadi ya dola za KImarekani 1,00, zaidi ya Sh. 200,000 za Tanzania. Nkana imeshinda 2-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KESSY AWA MCHEZAJI BORA WA MECHI NKANA IKISHINDA 2-0 ZAMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top