• HABARI MPYA

    Sunday, August 19, 2018

    ATHUMANI ABDALLAH CHINA ALICHEZA SIMBA KIDS KABLA YA KWENDA YANGA

    Kiungo Athumani Abdallah Mchabwa, maarufu kama Athumani China, wa tatu kutoka kulia waliosimama akiwa na kikosi cha timu ya watoto ya Simba SC, ‘Simba Kids’ mwaka 1981 kabla ya moja ya mechi zao. Baadaye China alikwenda Yanga ambako aliibukia katika Ligi Kuu, kabla ya baadaye kucheza tena Simba SC akiwa mkongwe.  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ATHUMANI ABDALLAH CHINA ALICHEZA SIMBA KIDS KABLA YA KWENDA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top