• HABARI MPYA

  Sunday, August 19, 2018

  NEYMAR LA KWANZA, MBAPPE MAWILI PSG YAUA 3-1 LIGUE 1

  Washambuliaji wa Paris Sant Germain, Neymar (kulia) na  Kylian Mbappe (kushoto) wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Guingamp kwenye mchezo wa Ligue 1,  Ufaransa Jumamosi Uwanja wa Stade du Roudourou mjini Guingamp. Neymar alifunga bao la kwanza kwa penalti dakika ya 53, baada ya Nolan Roux kutangulia kuifungia Guingamp dakika ya 20, kabla ya Mbappe kufunga mawili dakika za 82 na 90
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR LA KWANZA, MBAPPE MAWILI PSG YAUA 3-1 LIGUE 1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top