• HABARI MPYA

  Sunday, August 19, 2018

  AGUERO APIGA HAT TRIC MAN CITY YAIBAMIZA HUDDERSFIELD 6-1

  Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake dakika za 25, 35 na 75 katika ushindi wa 6-1 wa Manchester City dhidi ya Huddersfield United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad leo. Mabao mengine ya City yamefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 31, David Silva dakika ya 48 na Terence Kongolo aliyejifunga dakika ya 84, wakati la Huddersfield United yamefungwa na Jon Stankovic dakika ya 43 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO APIGA HAT TRIC MAN CITY YAIBAMIZA HUDDERSFIELD 6-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top