Mwenyekiti wa Yanga SC, Yussuf Manji akipunga mkono kusabahi mashabiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam jioni ya leo baada ya kuwasili kwa ajili ya kuushuhudia mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria unaotarajiwa kuanza Saa 1:00 usiku
![]() |
| Kabla ya kupanda jukwaani, Manji aliingia vyumbani kuzungumza na wachezaji |
![]() |
| Mashabiki wa Yanga wakifurahia baada ya kumuona tena Mwenyekiti wao, Manji aliyejiuzulu Mei mwaka jana |








.png)
0 comments:
Post a Comment