• HABARI MPYA

  Sunday, March 11, 2018

  SIMBA HII KING KIBADENI, MOHAMED BAKARI ‘TALL’ NA DAUDI SALUM ‘BRUCE LEE’ NDANI ILIKUWA MOTO

  Kikosi cha Simba SC kilichoundwa nyota kama Athumani Mambosasa (marehemu), Abdallah Kibadeni, Omar Gumbo, Daudi Salum ‘Bruce Lee’, Ezekiel Greyson ‘Jujuman’ (marehemu), Amri Ibrahim, Mohammed Bakari ‘Tall’ na wengine kikiwa Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam kabla ya moja ya mechi zake mwaka 1978.
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA HII KING KIBADENI, MOHAMED BAKARI ‘TALL’ NA DAUDI SALUM ‘BRUCE LEE’ NDANI ILIKUWA MOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top