Willian wa Brazil akimtoka Denis Glushakov wa Urusi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Olimpiyskiy Luzhnik, Moscow. Brazil ilishinda 3-0, mabao ya Joao Miranda dakika ya 53, Philippe Coutinho dakika ya 62 kwa penalti na Paulinho dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
I Am Maximus wins Grand National for trainer Mullins
-
I Am Maximus wins the Grand National for the second time for trainer Wille
Mullins at Aintree.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment