• HABARI MPYA

  Monday, March 19, 2018

  SAMATTA ALIVYOWASILI ALGIERS KUJIUNGA NA TAIFA STARS LEO

  Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Omar Yussuf Mzee (kushoto) akimpokea Nahodha wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars Mbwana Samatta alipowasili jioni ya leo Uwanja wa Ndege wa Algiers tayari kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa Algeria vs Tanzania utakaochezwa Alhamisi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOWASILI ALGIERS KUJIUNGA NA TAIFA STARS LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top