• HABARI MPYA

  Saturday, March 31, 2018

  SALAH AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YAILAZA CRYSTAL PALACE 2-1

  Nyota wa Liverpool, Mohamed Salah akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 84 ikitoka nyuma kwa bao 1-0 na kushinda mabao 2-1 dhidi Crystal Palace baada ya Luka Milivojevic kuanza kuwafunfia wenyeji dakika ya 13 kwa penalti kufuatia Loris Karius kumchezea rafu Wilfried Zaha, kabla ya Msenegali Sadio Mane kuwasawazishia wageni dakika ya 49 akimalizia krosi ya James Milner PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AFUNGA LA PILI LIVERPOOL YAILAZA CRYSTAL PALACE 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top