Mshambuliaji Lionel Messi akikimbia kwenye mazoezini ya timu yake ya taifa, Argentina jana mjini Madrid ikijiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Hispania kesho Uwanja wa Wanda Metropolitano baada ya kukosekana kwenye mechi na Italia wakishinda 2-0 Ijumaa Uwanja wa Etihad kiutokana na maumivu ya nyama za paja PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monday, March 26, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment