Mshambuliaji wa Hispania, Diego Costa akijaribu kuurukia mpira dhidi ya mabeki wa Ujrumani kwenye boksi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa ESPRIT arena mjini Dusseldorf, Ujerumani. Timu hizo zilifungana 1-1, Rodrigo akianza kuifungia Hispania dakika ya sita kabla ya Thomas Muller kuisawazishia Ujerumani dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment