• HABARI MPYA

  Saturday, March 31, 2018

  LUKAKU, SANCHEZ WAFUNGA MAN UNITED YAICHAPA 2-0 SWANSEA

  Mshambuliaji Alexis Sanchez anayelipwa Pauni 400,000 kwa wiki Manchester United akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao la pili dakika ya 20 ikiilaza 2-0 Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jionji ya leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester, kufuatia kumpasia mshambuliaji mwenzake, Romelu Lukaku kufunga bao la kwanza dakika ya tano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU, SANCHEZ WAFUNGA MAN UNITED YAICHAPA 2-0 SWANSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top