• HABARI MPYA

    Saturday, March 31, 2018

    BALE AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA

    Gareth Bale akifunga bao la tatu kwa penalti dakika ya 51 na la pili kwake katika ushindi wa 3-0 wa Real Madrid dhidi ya wenyeji, Las Palmas baada ya kufunga la kwanza dakika ya 26 kwenye mchezo wa La Liga Uwana wa Gran Canaria mjini Las Palmas de Gran Canaria. Bao la pili la Real Madrid limefungwa na Karim Benzema dakika ya 39 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AFUNGA MAWILI REAL MADRID YASHINDA 3-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top