• HABARI MPYA

  Saturday, February 17, 2018

  UNAJUA KWA NINI SANCHEZ AMEMBEBA HUYO MTOTO? SOMA

  Alexis Sanchez akiwa amebeba kumrudisha jukwaani shabiki mtoto mdogo aliyeingia Uwanja wa The John Smith na watoto wenzake kushangilia bao la pili la timu hiyo ambalo kama la kwanza lilifungwa na Romelu Lukaku katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la FA England dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UNAJUA KWA NINI SANCHEZ AMEMBEBA HUYO MTOTO? SOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top