Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akishangilia na mchezaji mwenzake wa muda mrefu, Andres Iniesta baada ya ushirikiano wao kuipatia timu bao la kusawazisha dakika ya 75 katika sare ya 1-1 na Chelsea kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Stamford Bridge, London. Chelsea ilitangulia kwa bao la kiungo wake Mbrazil, Willian dakika ya 62 akimalizia kazi nzuri kiungo Mbelgiji, Eden Hazard kabla ya kuisawazishia Barca PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Borussia Dortmund dealt Jadon Sancho blow with winger ruled out of Bayern Munich clash
-
Dortmund suffered a major blow on Friday when Jadon Sancho, Raphael
Guerreiro and Giovanni Reyna were ruled out of Saturday's game with
reigning champions ...
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment