• HABARI MPYA

  Monday, February 19, 2018

  MESSI ALIPOKUTANA NA LINEKER WATANO BAADA YA KUTUA LONDON

  Lionel Messi akiwa na gwiji wa soka England, Gary Lineker na wanawe wanne wa kiume kutoka kushoto Angus, George, Harry na Tobias baada ya kuwasili mjini London na timu yake, Barcelona kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Chelsea kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ALIPOKUTANA NA LINEKER WATANO BAADA YA KUTUA LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top