Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia na mchezaji mwenzake, Leroy Sane baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 19 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Arsenal kwenye fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup leo Uwanja wa Wembley. Bao la pili limefungwa na beki Vincent Kompany dakika ya 58 na la tatu kiungo, David Silva dakika 65, Pep Guardiola akitwaa taji la kwanza England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
WRU hold talks with Ospreys owners to buy Cardiff
-
The Welsh Rugby Union will enter a "period of exclusivity" with Ospreys
owners Y11 Sport & Media to discuss buying rivals Cardiff.
10 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment