• HABARI MPYA

    Sunday, February 25, 2018

    WANAUME WALIOIFIKISHA SIMBA SC FAINALI YA KOMBE LA CAF 1993

    Kikosi cha Simba SC mwaka 1993 ambacho kilifika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993, (sasa limeunganishwa na Kombe la Washindi na kuwa Kombe la Shirikisho) na kufungwa na Stella ya mjini Abidjan, Ivory Coast 2-0 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam baada ya sare ya 0-0 mjini Abidjan
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WANAUME WALIOIFIKISHA SIMBA SC FAINALI YA KOMBE LA CAF 1993 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top