• HABARI MPYA

  Sunday, February 18, 2018

  CAVANI, NEYMAR WOTE WALIPOFUNGA PSG IKISHINDA 5-2

  Kutoka kulia, Neymar, Angel Di Maria na Edinson Cavani wakifurahia baada ya wote kuifungia Paris Saint-Germain katika ushindi wa 5-2 dhidi ya Strasbourg Uwanja wa Parc des Princes kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa. Cavani alifunga mawili dakika za 73 na 79, wakati Julian Draxler alifunga dakika ya 10, Neymar 21 na Angel Di Maria 22 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAVANI, NEYMAR WOTE WALIPOFUNGA PSG IKISHINDA 5-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top