Kocha wa AC Milan, Gennaro Gattuso akitembea kibabe baada ya timu ya kushinda 2-0 ugenini jana dhidi ya wenyeji, Roma Uwanja wa Olimpico mabao ya Patrick Cutrone dakika ya 48 na Davide Calabria dakika ya 74 katika mchezo wa Serie A, Italia. Milan watakutana na Arsenal ya kocha Mfaransa, Arsene Wenger katika 16 Bora ya UEFA Europa League wiki ijayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
West Ham 2-0 Leeds United: Hammers maintain top-four push
-
West Ham continue their unlikely push for a place in next season's
Champions League with a deserved victory over Leeds United at London
Stadium.
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment