Fred anayetakiwa na Manchester City akishangilia baada ya kuifungia Shakhtar Donetsk bao la ushindi dakika ya 71 kwa mpira wa adhabu, wakitoka nyuma na kuilaza Roma 2-1 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Oblasny SportKomplex Metalist mjini Kharkiv, Uturuki. Roma walitangulia kwa bao la Cengiz Under dakika ya 41 kabla ya Facundo Ferreyra kusawazisha dakika ya 42 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment