• HABARI MPYA

  Thursday, February 15, 2018

  SADIO MANE APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHAPA PORTO 5-0

  Nyota wa Senegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao matatu dakika za 25, 53 na 85 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, FC Porto kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Do Dragao mjini Porto, Ureno. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na  Mohamed Salah dakika ya 29 na Roberto Firmino dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SADIO MANE APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHAPA PORTO 5-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top