Kiungo wa Yanga, Juma Mahadhi akimtoka beki wa Maji Maji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 4-1
Kiungo wa Yanga, Emmanuel Martin akiondoka na mpira taratibu dhidi ya mchezaji wa Maji Maji
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akimpita mchezaji wa Maji Maji, Jaffar Mohammed
Kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Maji Maji
Kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib akipambana kuwapita wachezaji wa Maji Maji jana
Beki wa Yanga, Gardiel Michael akimpita kwa chenga ya kuuzungusha mpira upande wa pili, beki wa Maji Maji Paul Maona
Kipa wa Maji Maji, Saleh Malande akiruka kuokoa dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Pius Buswita
Kiungo wa Yanga, Maka Edward akiwa juu kupiga mpira kichwa
Kikosi cha Maji Maji kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Yanga SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Craig Johnson's next Walt Longmire book set for release May 26
-
Best-selling author Craig Johnson has announced that his next Walt Longmire
mystery, "The Brothers McKay," will be released on May 26.
1 hour ago


.png)
0 comments:
Post a Comment