• HABARI MPYA

  Thursday, February 15, 2018

  RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YAICHAPA 3-1 PSG BERNABEU

  Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 45 kwa penalti na 83 ikitoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 3-1 dhidi ya Paris Saint-Germain katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa wa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Bao lingine la Real limefungwa na Marcelo dakika ya 86, baada ya PSG kutangulia kwa bao la mapema laAdrien Rabiot dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YAICHAPA 3-1 PSG BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top