• HABARI MPYA

  Tuesday, January 23, 2018

  AZAM FC ILIVYOSAINI MKATABA MPYA NA NMB LEO

  Mkurugenzi wa Azam FC, Yussuf Bakhresa (kulia) akimkabidhi Kombe Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker baada ya hafla ya benki hiyo kuongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuidhamini klabu hiyo kwa mwaka wa tano iliyofanyika makao makuu ya taasisi hiyo ya kifedha  mjini Dar es Salaam leo 
  Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohammed akimkabidhi jezi ya timu, Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker  
  Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohammed akibadilishana nyaraka na udhamini na Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker   
  Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdul Mohammed akisaini mkataba na Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker. Kulia ni Mkurugenzi wa Azam Fc, Yussuf Bakhresa.  
  Hapa ni Mkurugenzi wa NMB, Ineke Bussemaker na Nahodh wa Azam FC, Himid Mao (kulia)  
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOSAINI MKATABA MPYA NA NMB LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top